TANGAZO


Thursday, April 30, 2015

Chelsea yaichapa Leicester City 3 -1

Wachezaji wa Chelsea na Kocha Jose Mourinho
Ligi kuu ya England iliendelea tena usiku wa kuamkia Alhamis kwa nyasi za kiwanja kimoja kuwaka moto.
Leicester City walikuwa nyumbani kukipiga dhidi ya vinara wa ligi hiyo Chelsea.
Hadi mwisho wa mtanange huo Chelsea wameibuka na ushindi mnono wa mabao 3-1.
Chelsea huwenda wakatangaza ubingwa Jumapili ya mwisho wa wiki hii kama watafanikiwa kuwafunga Crystal Palace katika dimba la Stanford Bridge.

No comments:

Post a Comment