Mkurugenzi wa Kampuni ya Steps Entertainment Bw. Delish Solanki (kushoto) akizungumza na viongozi wa Bodi ya Filamu (hawapo katika picha) katika kikao cha kujadili maendeleo ya tansia ya filamu nchini Bw. Claude Nyalaba (kulia) na Bw. Carles Johns (katikati) wajumbe kutoka kampuni ya Steps Entertainment nchini.
Mjumbe kutoka Kampuni ya Steps Entertainment Bw. Claude Nyalaba akisisitiza jambo katika kikao cha wadau wa filamu nchini na uongozi wa Bodi ya filamu kilochofanyika hivi karibuni kujadili maendeleo ya tansia ya filamu nchini.
Mjumbe
wa Bodi ya Filamu Dkt. Visensia Shule akizungumza katika kikao cha kujadili
maendeleo ya tansia ya filamu kilichofanyika hivi karibuni kati ya wadau wa
filamu na viongozi wa Bodi ya Filamu nchini.
No comments:
Post a Comment