TANGAZO

Sunday, February 8, 2015

Yanga ilivyoihenyesha Mtibwa Sugar Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Ligi Kuu ya Vodacom, yaipiga 2-0

Juma Abdul (kushoto) wa Yanga na Daid Luhende wa Mtibwa Sugar wakikimbilia mpira wakati timu hizo zilipopambana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa leo jioni. Yanga imeshinda mabao 2-0. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Juma Abdul (kushoto) wa Yanga na Salim Mbonde wa Mtibwa Sugar wakikimbilia mpira wakati wa mchezo huo, Uwanja wa Taifa leo jioni.
Juma Abdul (kushoto) wa Yanga na Salim Mbonde wa Mtibwa Sugar wakiwania mpira wakati wa mchezo huo.
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo huo.
Mrisho Ngassa (kushoto) na Simon Msuva wakishangilia bao la kwanza la timu hiyo, lililofungwa na Ngassa.
Mrisho Ngassa (kushoto) na Simon Msuva wakishangilia bao la kwanza la timu hiyo, lililofungwa na Ngassa.
Ubao wa matangazo ukionesha Yanga bao 1 na Mtibwa 0.
Mrisho Ngassa akikimbia kushangilia bao lake la pili aliloifungia timu yake ya Yanga, huku akifuatwa na Haruna Niyonzima (katikati) na Simon Msuva, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom dhidi ya Mtibwa Sugar, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga ilishinda mabao 2-0.

Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao la pili lililoifungwa tena na Ngassa na kuifanya Yanga kuongoza kwa mabao 2-0 ikiwa ni dakika 80 za mchezo huo, wakati huo.
Wachezaji wa Yanga wakimpongeza Mrisho Ngassa baada ya kuifanya Yanga bao la pili.
Ubao wa matangazo ukionesha Yanga mabao 2 na Mtibwa 0.
Salim Mbonde wa Mtibwa akiudhibiti mpira huku Himisi Tambwe wa Yanga akimwangalia.
Salim Mbonde wa Mtibwa akimtoka Himisi Tambwe wa Yanga.
Salim Mbonde wa Mtibwa akiudhibiti mpira huku akizongwa na Himisi Tambwe wa Yanga.
Salim Mbonde wa Mtibwa na Himisi Tambwe wa Yanga, wakiwania mpira.
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mpira huo.

Juu na chini: Mashabiki wa Yanga wakifurahia na kushangilia timu yao hiyo.

Mpaka mwisho wa mchezo huo, Yanga mabao 2 na Mtibwa 0 kama inavyoonekana kwenye ubao wa matangazo.

No comments:

Post a Comment