TANGAZO

Tuesday, February 10, 2015

Harakati za uzimaji moto kwenye Jengo lililokuwa likiteketea la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) jijini Dar es Salaam leo

Wananchi wakilishangaa jengo lililokuwa likiteketea kwa moto la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), lenye ghorofa mbili, Kitalu namba 1809/88, makutano ya Mitaa ya Libya na Mosque, Kitumbini, Dar es Salaam leo. Chanzo cha moto huo, kimeelezwa kuwa ni hitilafu ya umeme, iliyotokea kwenye jengo hilo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Wananchi wakilishangaa jengo lililokuwa likiteketea kwa moto la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), lenye ghorofa mbili, Kitalu namba 1809/88, makutano ya Mitaa ya Libya na Mosque, Kitumbini, Dar es Salaam leo. Chanzo cha moto huo, kimeelezwa kuwa ni hitilafu ya umeme, iliyotokea kwenye jengo hilo.

Wananchi wakifuatilia tukio hilo la kuungua jengo la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), lenye ghorofa mbili, Kitalu namba 1809/88, makutano ya Mitaa ya Libya na Mosque, Kitumbini, Dar es Salaam leo. Chanzo cha moto huo, kimeelezwa kuwa ni hitilafu ya umeme, iliyotokea kwenye jengo hilo.

Wananchi wakilishangaa jengo lililokuwa likiteketea kwa moto la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), lenye ghorofa mbili, Kitalu namba 1809/88, makutano ya Mitaa ya Libya na Mosque, Kitumbini, Dar es Salaam leo. Chanzo cha moto huo, kimeelezwa kuwa ni hitilafu ya umeme, iliyotokea kwenye jengo hilo.

Askari wa Kikosi cha Zimamoto, wakiwa kazini kuuzima moto uliokuwa ukiwaka kutokana na kilichoelezwa kuwa hitilafu ya umeme, kwenye jengo la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), lenye ghorofa mbili, Kitalu namba 1809/88, makutano ya Mitaa ya Libya na Mosque, Kitumbini, Dar es Salaam leo.

 Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, akizungumza na waandishi wa habari kwenye eneo la tukio hilo.

 Gari la Vikosi vya Zimamoto likiwa kazini katika kuuzima moto kwenye jengo hilo. 
Moja ya magari ya Vikosi vya Zimamoto likiwa kazini katika kuuzima moto kwenye jengo hilo. 
Moja ya magari ya Kikosi cha Zimamoto cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Juliusa Nyerere, likiwa kazini katika kuuzima moto kwenye jengo hilo. 
Askari wa Kikosi cha Zimamoto wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Juliusa Nyerere, wakiwa kazini, kuuzima moto uliokuwa ukiwaka kwenye jengo hilo.
Askari wa Kikosi cha Zimamoto wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Juliusa Nyerere, wakiwa kazini, kuuzima moto uliokuwa ukiwaka kwa juu ya jengo hilo.

Gari la Zimamoto la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Juliusa Nyerere, likiwa kazini, kuuzima moto uliokuwa ukiwaka kwa juu ya jengo hilo.

No comments:

Post a Comment