TANGAZO


Tuesday, February 10, 2015

Rais wa Zanzibar, Dk. Shein akutana na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria

Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Katiba na Sheria  na Idara zake  wakimsikiliza Waziri Abubakar Khamis Bakary (hayupo pichani) alipokuwa  akitoa taarifa ya Wizara ya utekelezaji wa malengo  kwa robo mbili ya kutoka Julai-Disemba  2014-2015 wakati  Mkutano uliofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria  katika mpango wa utekelezaji wa malengo  kwa robo mbili ya kutoka Julai-Disemba  2014-2015 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria  katika mpango wa utekelezaji wa malengo  kwa robo mbili ya kutoka Julai-Disemba  2014-2015 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment