TANGAZO


Saturday, January 17, 2015

Yanga, Ruvu Shooting zatoka suluhu Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Wachezaji wa timu ya Ruvu Shooting wakipiga picha ya kumbukumbu kabla ya kupambana na Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Wachezaji wa timu ya Yanga wakipiga picha ya kumbukumbu kabla ya kupambana na Ruvu Shooting FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Katika mchezo huo timu hizo zilitoka suluhu bila kufungana.
Juma Abdul wa Yanga, akiwania mpira na Ayoub Kitala wa Ruvu Shooting, wakati wa mchezo huo. Katika mchezo huo, hakuna timu iliyoitambia mwenzake, zilitoka suluhu bila kufungana.
Ayoub Kitala wa Ruvu Shooting akijaribu kuzuia mpira uliokuwa ukipigwa na Juma Abdul wa Yanga, wakati wa mchezo huo leo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Kpah Sherman wa Yanga, akibanwa na Hamis Kasanga wa Ruvu Shooting.
Kpah Sherman wa Yanga na Hamis Kasanga wa Ruvu Shooting, wakiwania mpira.
Kpah Sherman wa Yanga na Hamis Kasanga wa Ruvu Shooting, wakiwania mpira huo, wakati wa mchezo huo, uliomalizika kwa kutoka suluhu bila kufungana. (Picha zote na Khamisi Mussa)

No comments:

Post a Comment