TANGAZO


Monday, January 12, 2015

Usiku wa Mkesha wa Fashfash Viwanja vya Maisara

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, akisalimiana na viongozi mbalimbali alipofika Viwanja vya Maisara Suleiman kwenyemkesha waupigaji wa fashfashi kwa ajili ya kusherehekea miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar. (Picha zote kwa hisani ya ZanziNews)
Wananchi wakiwa katika viwanja vya maisara wakisubiri muda ili kushuhudia upigaji wa fashfashi kwa ajili ya kusherehekea miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe Abdallah Mwinyi Khamis, katika viwanja vya maisara kushiriki katika hafla hiyo ya maadhimisho.
Viongozi wakiongozwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (katikati), wakiangalia fashifashi hizo.

Fashifashi zikiwa zimerupuliwa angani.
Fishifashi zikiwa angani.


Wananchi wakipiga picha matukio ya fashi fashi zilizokuwa zikipigwa angani katika kuadhimisha mkesha wa Mapinduzi, usiku wa kuamkia leo, mjini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment