Pages

Thursday, January 29, 2015

Maofisa Mawasiliano Serikalini waendelea kupigwa msasa mjini Mtwara

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano toka Wizara ya Nishati na Madini Bi. Badra Masoud akitoa somo kwa Maofisa Mawasiliano mara baada ya Mafunzo kutoka kwa Mkufunzi toka Uingereza Bw. Simon McDowell leo Mjini Mtwara.a
Ofisa Mawasiliano wa Ofisi ya Rais Sekretariat ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Kassim Nyaki akitoa somo kwa Maafisa Mawasiliano mara baada ya Mafunzo kutoka kwa Mkufunzi toka Uingereza Bw. Simon McDowell leo Mjini Mtwara.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene akimshukuru Mkufunzi toka Uingereza Bw. Simon McDowell mara baada ya kumaliza mafunzo yake ya Siku mbili kwa Maafisa Mawasiliano wa Serikali wakati wa kikao kazi cha Maafisa Ha oleo Mjini Mtwara. (Picha zote na Hassan Silayo-Maelezo)

No comments:

Post a Comment