Kamishna wa Polisi - Paul Chagonja na Kamanda Thobias Andengenye wakijaziwa form maalumu itakayowaruhusu kupata taarifa fupi za akaunti zao za NMB kupitia mtandao wa E-mail kutoka kwa Meneja Mwandamizi katika kitengo cha wateja binafsi – Suzan Shuma huku Daudi Sanga kutoka NMB Dodoma kitengo cha Chap Chap Instant Account akijiandaa kutoa maelezo juu ya huduma ya kufungua akaunti ya chap chap.
Meneja Mwandamizi katika kitengo cha wateja binafsi – Suzan Shuma akimjazia Kamishna wa Polisi kutoka makao makuu ya jeshi la Polisi – Paul Chagonja fomu itakayomruhusu kupata taarifa fupi za akaunti yake ya NMB kupitia mtandao wa E-mail (E-statement).
Kamishna wa Polisi Paul Chagonja na Kamanda Thobias Andengenye wakiuliza swali kwa Meneja Mwandamizi katika kitengo cha wateja binafsi – Suzan Shuma juu ya huduma ya Taarifa za akaunti kupitia mtandao wa barua pepe (E-statement).
Meneja Mwandamizi katika Kitengo cha wateja binafsi – Suzan Shuma akimjazia Kamishna wa Polisi kutoka Makao Makuu ya jeshi la Polisi – Paul Chagonja fomu itakayomruhusu kupata taarifa fupi za akaunti kupitia mtandao wa barua pepe (E-statement) huku Bwana Daudi Sanga wa NMB Dodoma akimfungulisha akaunti mpya ya Chap Chap Kamanda wa polisi kutoka Makao Makuu ya polisi -Thobias Andengenye nje ya ukumbi wa St. Gasper ambapo Jeshi la polisi linaendelea na kikao chake cha mwaka.
Kamishna wa Polisi - Paul Chagonja na Kamanda Thobias Angengeye wakijaziwa form maalumu itakayowaruhusu kupata taarifa fupi za akaunti zao za NMB kupitia mtandao wa E-mail kutoka kwa Meneja Mwandamizi katika kitengo cha wateja binafsi – Suzan Shuma huku Daudi Sanga kutoka NMB Dodoma kitengo cha Chap Chap Instant Account akijiandaa kutoa maelezo juu ya huduma ya kufungua akaunti ya chap chap.
Meneja Mwandamizi katika kitengo cha wateja binafsi – Suzan Shuma akimjazia Kamishna wa Polisi kutoka makao makuu ya jeshi la Polisi – Paul Chagonja fomu itakayomruhusu kupata taarifa fupi za akaunti yake ya NMB kupitia mtandao wa E-mail (E-statement).
No comments:
Post a Comment