TANGAZO


Tuesday, January 6, 2015

Balozi Seif Ali Idi afungua Skuli ya Sekondari ya Faraja Mjini Zanzibar

Jengo la Skuli ya Secondary ya  Faraja lililofunguliwa na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idi Kwamtipura, Mjini Zanzibar, ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar. 
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi kushoto akisalimiana na Muwakilishi wa Jimbo la Kwamtipura Hamza Hassan katika ufunguzi wa Skuli ya Secondary ya Faraja Kwamtipura Mjini Zanzibar ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akikunjuwa Kitambaa ikiwa ni ishara ya Ufunguzi wa Skuli ya Secondary ya Faraja Kwamtipura Mjini Zanzibar ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akitembelea maeneo mbali mbali ya Skuli ya Secondary ya Faraja Kwamtipura Mjini Zanzibar baada ya kuifungua rasmi ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar. 
Baadhi ya Walimu na wananchi mbalimbali waliohudhuria katika Ufunguzi wa Skuli ya Secondary ya Faraja Kwamtipura Mjini Zanzibar  ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar. 
Wanafunzi wa Madrasa ya Kamaria wakileta burudani ya Kasida katika ufunguzi wa Skuli ya Secondary ya Faraja Kwamtipura Mjini Zanzibar ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar. 
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamhuna akitoa maelezo kuhusiana na Skuli ya Secondary ya Faraja iliofunguliwa na  Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi Kwamtipura Mjini Zanzibar ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar. (Picha zote na Yussuf Simai-Maelezo Zanzibar)

No comments:

Post a Comment