TANGAZO


Friday, November 28, 2014

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii yapokea magari 4 kutoka Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO)

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donald Mmbando (kushoto), akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo, baada ya kupokea msaada  wa magari manne na vifaa vya afya kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika la Afya la Dunia (WHO), Dk. Rufaro Chotaro (kulia), wizarani hapo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donald Mmbando (kushoto), akipokea moja ya funguo za magari manne kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika la Afya  la Dunia (WHO), Dk. Rufaro Chotaro.
Baadhi ya magari yaliyotolewa msaada na Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) kwa Wizara ya Afya. (Picha zote na Magreth Kinabo-Maelezo)

No comments:

Post a Comment