Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Haabari, Vijana Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel kushoto
akizungumza na watu kutoka Jamhuri ya watu wa china (hawapo pichani) walipofika
katika ofisi za Wizara kuonana na uongozi wa Wizara kabla ya Maonyesho ya Miaka
50 ya ushirikiano kati ya Tanzania na China yaliyofanyika jioni yake. Kulia ni
Mkurugenzi msaidizi Sanaa Bibi Leah Kihimbi.
Baadhi ya wageni kutoka Nanjing
China wakifuatilia mazungumzo yaliyokua yakiendelea walipofika katika ofisi za
Wizara kuonana na uongozi wa Wizara kabla ya Maonyesho ya Miaka 50 ya
ushirikiano kati ya Tanzania na China yaliyofanyika jioni yake. Kushoto ni
Mkurugenzi msaidizi Mila Bibi Lily Beleko.
Mkuu wa masuala ya Utamaduni, Utangazaji, Habari na Uchapishaji kutoka Nanjing China Bw. Yan Yiping kushoto akifafanua jambo walipofika katika ofisi za Wizara kuonana na uongozi wa Wizara kabla ya Maonyesho ya Miaka 50 ya ushirikiano kati ya Tanzania na China yaliyofanyika jioni yake. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Haabari, Vijana Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Haabari, Vijana Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel kulia akipokea
zawadi kwa niaba ya Wizara kutoka kwa Mkuu wa masuala ya Utamaduni, Utangazaji,
Habari na Uchapishaji kutoka Nanjing China Bw. Yan Yiping walipofika katika
ofisi za Wizara kuonana na uongozi wa Wizara kabla ya Maonyesho ya Miaka 50 ya
ushirikiano kati ya Tanzania na China yaliyofanyika jioni yake. (Picha zote na Genofeva Matemu -
Maelezo)
No comments:
Post a Comment