TANGAZO


Saturday, November 29, 2014

Rais Kikwete awasili nchini akitokea kufanyiwa matibabu nchini Marekani

Kikundi cha burudani cha JKT, kikitumbuiza wakati Rais Jakaya Kikwete, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, akitokea nchini Marekani alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Viongozi mbalimbali wakiwa wakijipanga kwa ajili ya kumpokea Rais Jakaya Kikwete, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, akitokea nchini Marekani alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume.
Kikundi cha burudani cha Matarumbeta cha JKT, kikitumbuiza wakati Rais Jakaya Kikwete, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, akitokea nchini Marekani alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume.
Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Dar es Salaam, wakijipanga kwa ajili ya kumpokea Rais Jakaya Kikwete, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, akitokea nchini Marekani alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume.
Gari lililombeba Rais Jakaya Kikwete, likiwasili kwenye jengo la VIP kwa ajili ya kuleta rasi kuongea na waandishi wa habari mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, akitokea nchini Marekani alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume.
Rais Jakaya Kikwete, akiwapungia wananchi waliofika kumpokea wakati alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete na mkewe, Mama Salma wakiwasili kwenye jengo la VIP kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari kuelezea maendeleo ya afya yake baada ya kufanyiwa upasuaji wa tezi dume nchini Marekani. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na viongozi  na wananchi waliojitokeza kumlaki wakati akitokea nchini Marekani, alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume.
Rais Jakaya Kikwete na mkewe, Mama Salma, wakisalimiana na viongozi pamoja na wananchi waliofika Uwanja wa Ndege kumpokea wakati alipowasili nchini akitokea nchini Marekani alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume.
Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na kuzungumza na mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere, aliyefika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, kumlaki wakati akitokea nchini Marekani alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume. Kulia kwa Mama Nyerere ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa, Ramadhan Madabida. 
Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na kuzungumza na mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere, aliyefika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, kumlaki wakati akitokea nchini Marekani alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume. Kulia kwa Mama Nyerere ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa, Ramadhan Madabida. 
Rais Jakaya Kikwete, akizungumza na waandishi wa habari, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, akitokea nchini Marekani alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi, Bernard Membe na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki.
Rais Jakaya Kikwete, akifurahia jambo wakati alipozungumza na waandishi wa habari, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, akitokea nchini Marekani alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi, Bernard Membe na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki.
Rais Jakaya Kikwete, akizungumza na waandishi wa habari, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, akitokea nchini Marekani alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa, Said Sadiki.
Rais Jakaya Kikwete, akizungumza na waandishi wa habari, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, akitokea nchini Marekani alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi, Bernard Membe na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki.uu wa Mkoa, Said Sadiki.
Rais Jakaya Kikwete, akizungumza na waandishi wa habari, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo.
Baadhi ya viongozi, wananchi na waandishi wa habari, wakimsiliza Rais Jakaya Kikwete, alipozungumza nao alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akizungumza na waandishi wa habari Uwanjani hapo, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa, Said Sadiki.
Rais Jakaya Kikwete, akizungumza na waandishi wa habari, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, alipowasili akitokea nchini Marekani alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume. 
Rais Jakaya Kikwete, akizungumza na waandishi wa habari.
Rais Jakaya Kikwete, akifafanua jambo alipozungumza na waandishi wa habari, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo.
Waandishi wa habari wakiwa kazini wakati Rais Jakaya Kikwete, alipozungumza nao, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, akitokea nchini Marekani alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume.
Wananchi, viongozi wa dini na waandishi wa habari, wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete, alipozungumza nao, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, akitokea nchini Marekani alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume. 
Kiongozi wa Dini ya Kikristo, akimwombea Rais Jakaya Kikwete, mara baada ya kuzungumza na waandishi wa habari, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, akitokea nchini Marekani alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume.


Kiongozi wa Dini ya Kiislamu, akimwombea dua Rais Jakaya Kikwete, mara baada ya kuzungumza na waandishi wa habari, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, akitokea nchini Marekani alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume.


Kiongozi wa Dini ya Kikristo, akimuombea Rais Jakaya Kikwete, mara baada ya kuzungumza na waandishi wa habari, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, akitokea nchini Marekani alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume.
Kiongozi wa Dini ya Kikristo, akimuombea Rais Jakaya Kikwete, mara baada ya kuzungumza na waandishi wa habari, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, akitokea nchini Marekani alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume.

No comments:

Post a Comment