Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania bw, Jackson Mmbando akikabidhi
baadhi vifaa vya mpira wa miguu ikiwemo mipira, neti za magoli, jezi,
gloves na soksi, shean guard vilivyotolewa na kampuni ya simu za
mkononi ya Airtel maalum kwa chuo kikuu cha Dodoma maarufu kama UDOM na
kupokelewa na Naibu Makumu Mkuu wa chuo hicho Prof Shaaban Mlacha
aliyepokea kwa niaba ya wanafunzi vifaa vyote vinathamani ya dola
elfu 20. Anaeshudia wakwanza kushoto ni Meneja Mauzo wa kanda ya kati wa
Airtel Bw, Stephen Akyoo.

Meneja uhusiano wa Airtel Bw jackson mmbando akiongea na waandishi wa
habari pamoja na wanafunzi wa chuo kikuu cha UDOM katika ukumbi wa
mkutano chuoni hapo ambapo Airtel walikabidhi vifaa vya michezo vyenye
thamani ya dola elfu 20 kwa chuo hicho. Kulia ni Naibu Makumu Mkuu wa
chuo hicho Prof Shaaban Mlacha na Meneja Mauzo wa kanda ya kati wa
Airtel Bw, Stephen Akyoo kushoto.
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania bw, Jackson Mmbando akikabidhi
baadhi vifaa vya mpira wa miguu ikiwemo mipira, neti za magoli, jezi,
gloves na soksi, shean guard vilivyotolewa na kampuni ya simu za
mkononi ya Airtel maalum kwa chuo kikuu cha Dodoma maarufu kama UDOM na
kupokelewa na Naibu Makumu Mkuu wa chuo hicho Prof Shaaban Mlacha
aliyepokea kwa niaba ya wanafunzi vifaa vyote vinathamani ya dola
elfu 20. Anaeshudia wakwanza kushoto ni Meneja Mauzo wa kanda ya kati wa
Airtel Bw, Stephen Akyoo.
No comments:
Post a Comment