TANGAZO


Thursday, October 16, 2014

Yanga yajifua Uwanja wa Boko Veteran katika hatua za mwisho kabla ya kupambana na mtani wake wa Jadi Simba Uwanja wa Taifa Dar keshokutwa

Kocha wa timu ya Yanga, Marcio Maximo, akiwaelekeza jambo, wachezaji wake, Uwanja wa Boko Veteran, wakati wa mazoezi yao ya mwishoni kwa ajili ya kujiandaa na pambano lao na watani wao wa jadi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Simba keshokutwa, Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Kocha wa timu ya Yanga, Marcio Maximo, akiwaelekeza jambo, wachezaji wake, Uwanja wa Boko Veteran, wakati wa mazoezi yao ya mwishoni kwa ajili ya kujiandaa na pambano lao na watani wao wa jadi Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, keshokutwa, Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.
 Wachezaji wa Yanga, wakijifua, Uwanja wa Boko Veteran, wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na pambano lao na watani wao wa jadi Simba keshokutwa, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Marcio Maximo (kulia), akiwaelekeza jambo, wachezaji wake, Uwanja wa Boko Veteran, wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na pambano lao na watani wao wa jadi Simba, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, keshokutwa, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Kocha wa timu ya Yanga, Marcio Maximo, akiwaelekeza jambo, wachezaji wake, Uwanja wa Boko Veteran, wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na pambano lao na watani wao wa jadi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Simba kesho, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Marcio Maximo, akiwaelekeza jambo, wachezaji wake, Uwanja wa Boko Veteran, wakati wakifanya mazoezi yao ya kupiga kona.
Kocha wa timu ya Yanga, Marcio Maximo, akimwaelekeza jambo, golikipa wa timu hiyo, Munisi 'Dida', kuhusu namna ya kujipanga wakati wa upigaji wa kona, ikiwa ni maandalizi ya mchezo kati ya timu hiyo na Simba, utakaofanyika keshokutwa, Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.
Kocha wa timu ya Yanga, Marcio Maximo, akimwaelekeza jambo, golikipa wake, Munisi 'Dida', kuhusu namna ya kujipanga wakati wa upigaji wa kona, ikiwa ni maandalizi ya mchezo kati ya timu hiyo na Simba, utakaofanyika keshokutwa, Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.
Golikipa Munisi 'Dida', akiruka juu kuudaka mpira wa kona wakati wa mazoezi ya namna ya kujipanga wakati wa upigaji wa mipira hiyo, ikiwa ni maandalizi ya mchezo kati ya timu hiyo na Simba, utakaofanyika keshokutwa, Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.
Wachezaji wa Yanga wakikimbia kwa ajili ya kujiweka sawa kimazoezi, ikiwa ni maandalizi ya mchezo kati ya timu hiyo na Simba, utakaofanyika keshokutwa, Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.
Wachezaji wa Yanga, wakiwa katika mazoezi ya kuucheza mpira, Uwanja wa Boko Veteran, wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na pambano lao na watani wao wa jadi Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Simba keshokutwa, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Wachezaji wa Yanga, wakiwa katika mazoezi ya kuucheza mpira, Uwanja wa Boko Veteran, wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na pambano lao na watani wao wa jadi Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Simba keshokutwa, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
 wachezaji Jaja na Yondani, wakikimbia ili kujiweka sawa kistamina kabla ya pambano lao na Simba, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam keshokutwa.
Kocha wa timu ya Yanga, Marcio Maximo, akiwa pamoja na msaidizi wake, wakati wa mazoezi hayo ya kujiandaa na pambano lao na watani wao wa jadi Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Simba kesho, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Yondani na Jaja wakiwa kazini kwa kufanya mazoezi ya kupata stamina.
Kocha wa timu ya Yanga, Marcio Maximo, akiwa  na msaidizi wake, wakifuatilia mazoezi ya timu yao hiyo. 
Jaja akimweleza jambo Nadir Haroub 'Canavaro' wakati wakifanya mazoezi ya kukimbia. Kushoto ni Yondani.
Jaja akifurahia jambo na Nadir Haroub 'Canavaro' wakati wakifanya mazoezi ya kukimbia. Kushoto ni Yondani.
Wachezaji wakifanya mazoezi ya kunyoosha viungo. 
Wachezaji wakiucheza mpira ili kujiweka sawa na mchezo na watani wao wa jadi, Simba, wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam keshokutwa.
Wachezaji wakiucheza mpira ili kujiweka sawa na mchezo na watani wao wa jadi, Simba, wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam keshokutwa.
Wachezaji wakiucheza mpira ili kujiweka sawa na mchezo na watani wao wa jadi, Simba, wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam keshokutwa.
Jaja na Yondani wakiwa kazini, wakijifua kwa kukimbia.
Mbuyu Twitwe akifanya mazoezi na wachezaji wenzake, Uwanja wa Boko Veteran, wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na pambano lao na watani wao wa jadi, Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Simba keshokutwa, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
 Wachezaji wakifanya mazoezi ya kuupiga mpira wa kuunganisha uwanjani hapo.
Kocha wa makipa wa timu ya Yanga, Juma Pondamali akiwaelekeza jambo wachezaji wa timu hiyo. 
Wachezaji wa Yanga wakijifua kwa kukimbia na mpira wakati wa mazoezi ya timu hiyo leo, Uwanja wa Boko Veteran, jijini Dar es Salaam.
Wachezaji wa Yanga wakijifua kwa kukimbia na mpira wakati wa mazoezi ya timu hiyo leo, Uwanja wa Boko Veteran, jijini Dar es Salaam.
Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi ya kuuzoea mpira wakati wa mazoezi ya timu hiyo leo, Uwanja wa Boko Veteran, jijini Dar es Salaam.
Wachezaji wakifanya mazoezi ya kupiga danadana mpira wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na pambano lao na watani wao wa jadi, Simba.
Wachezaji wakifanya mazoezi ya kupiga danadana mpira wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na pambano lao na watani wao wa jadi, Simba.

No comments:

Post a Comment