Wadau wa vijana washiriki mdahalo katika Wiki ya Vijana mkoni Tabora
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana kutoka
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Steven Kissui akizungumza
katika mdahalo wa vijana leo, mkoani Tabora ambapo mdahalo huo umefanyika ikiwa
ni kuadhimisha Wiki ya Vijana ambayo kitaifa inafanyika mkoani hapa.
Mchumi Mkuu Sekretariat ya Mkoa wa Tabora Bw.Nicholas
Kileka akitoa mada kuhusu ijue Tabora leo mkoani humo wakati wa mdahalo
uliohusisha vijana mbalimbali wanaoshiriki maadhimisho ya Wiki ya Vijana ambayo
kitaifa yanafanyika mkoani humo.
Ofisa Vijana Mwandamizi kutoka Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo Florent Karist akitoa mada kuhusu maudhui ya Wiki
ya Vijana leo mkoani humo wakati wa mdahalo uliohusisha vijana mbalimbali
wanaoshiriki maadhimisho ya Wiki ya Vijana ambayo kitaifa yanafanyika mkoani
humo.
Baadhi ya Washiriki wa mdahalo wa Vijana katika
kuadhimisha Wiki ya Vijana wakichangia mada katika mdahalo huo leo mkoani
Tabora

kuadhimisha Wiki ya Vijana wakifuatilia mada katika mdahalo huo leo mkoani
Tabora.
Baadhi ya Washiriki wa mdahalo wa Vijana katika
kuadhimisha Wiki ya Vijana wakifuatilia mada katika mdahalo huo leo mkoani
Tabora. (Picha zote na Frank Shija, WHVUM)
No comments:
Post a Comment