TANGAZO


Friday, October 10, 2014

Rais Kikwete ahudhuria sherehe za miaka 52 Uhuru wa Uganda

Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda akiwakaribisha Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Salva Kiir wa Sudani ya kusini kuhudhuria shrehe za Uhuru wa Uganda zilizofanyika huko kololo Kampala. (Picha zote na Freddy Maro)
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maua muda mfupi baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Entebbe Uganda kuhudhuria sherehe za miaka 52 za uhuru wa Uganda.

No comments:

Post a Comment