Mkurugenzi wa Utawala na Menejimenti ya Rasirimali Watu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni naMichezo Barnabas Ndunguru akifafanua jambo wakati wa mafunzo elekezi kwa waajiriwa wapya wa Wizara hiyo iliyofanyika leo katika Ukumbi wa mikutano uliopo Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mwajiriwa mpya katika kada ya Afisa Habari akichangia
mada wakati wa semina elekezi ya waajiriwa wapya wa Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Waajiriwa wapya wa Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo wakifuatilia mada wakati wa mafunzo elekezi kwa ajili
ya kuwajengea uwezo kujua taratibu za Kiutumishi wa Umma semina iliyofanyika leo
jijini Dar es Salaam.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel (waliokaa katikati), akiwa katika
picha ya pamoja na waajiriwa wapya na baadhi ya viongozi wa wizara
hiyo mara baada ya kufungua mafunzo kwa watumishi wapya leo jijini Dar es
Salaam. (Pichana Frank Shija, WHVUM)
No comments:
Post a Comment