Tuesday, October 21, 2014
Covenant Bank yawakabidhi ng'ombe wateja wao wafugaji wa Gezaulole, Kigamboni, Temeke jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Covenant Bank, Sabetha Mwambenja, akizungumza katika hafla ya kukabidhi mikopo ya ng'ombe wa maziwa kwa kikundi cha wafugaji cha Kata ya Somangila, Gezaulole, Kigamboni, Temeke, jijini Dar es Salaam leo, mikopo iliyotolewa na benki hiyo, kupitia Akaunti yake ya Wafugaji. Wapili kulia ni Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani.
Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Salum Chitale, akizunguma wakati wa hafla hiyo.
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani (kulia), akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi mikopo ya mitamba 83, ya ng'ombe, yenye thamani ya sh. milioni 208 kwa kikundi cha wafugaji cha Kata ya Somangila, Gezaulole, Kigamboni, Temeke, jijini Dar es Salaam leo, mikopo iliyotolewa na Covenant Bank kupitia Akaunti yake ya Wafugaji. Kushoto ni Mkurugenzi Mwendeshaji wa benki hiyo, Sabetha Mwambenja na kulia ni mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Salum Chitale.
Baadhi ya wanakikundi cha wafugaji wa Gezaulole, wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa mikopo ya ng'ombe, iliyotolewa na Covenant Bank kupitia Akaunti yake ya Wafugaji.
Baadhi ya wanakikundi cha wafugaji wa Gezaulole, wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa mikopo ya ng'ombe, iliyotolewa na Covenant Bank kupitia Akaunti yake ya Wafugaji.
Baadhi ya ng'ombe waliokabidhiwa kwa wanakikundi cha wafugaji wa Gezaulole, wakiwa katika hafla ya makabidhiano leo.
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani (kushoto), akiwa na Mkurugenzi Mwendeshaji wa benki hiyo, Sabetha Mwambenja (wapili) na mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Salum Chitale, wakati akijiandaa kukabidhi mitamba 83, ya ng'ombe kwa wana kikundi cha wafugaji cha Kata ya Somangila, Gezaulole, Kigamboni, Temeke, jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani (kulia), akimkamua mmoja wa mitamba 83, aliyoikabidhi kwa wana kikundi cha wafugaji cha Kata ya Somangila, Gezaulole, Kigamboni, Temeke, Dar es Salaam leo.
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani (kulia), akimkamua mmoja wa mitamba 83, aliyoikabidhi kwa wana kikundi cha wafugaji cha Kata ya Somangila, Gezaulole, Kigamboni, Temeke, Dar es Salaam leo.
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani (kulia), akimkabidhi mmoja wa mitamba 83, mwana kikundi cha wafugaji cha Kata ya Somangila, Gezaulole, Kigamboni, Temeke, Benedicto Paulo Mpema (kushoto), Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akikabidhi mikopo ya mifugo kwa kikundi hicho, iliyotolewa na Covenant Bank kupitia Akaunti yake ya Wafugaji.
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani (kulia), akimkabidhi mmoja wa mitamba 83, mwana kikundi cha wafugaji cha Kata ya Somangila, Gezaulole, Kigamboni, Temeke, Valentina Ngwando (wapili kushoto), Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akikabidhi mikopo ya mifugo kwa kikundi hicho, iliyotolewa na Covenant Bank kupitia Akaunti yake ya Wafugaji. Katikati aliyenyoosha mkono ni Mkurugenzi Mwendeshaji wa benki hiyo, Sabetha Mwambenja.
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani (kushoto), akimkabidhi mmoja wa mitamba 83, mwana kikundi cha wafugaji cha Kata ya Somangila, Gezaulole, Kigamboni, Temeke, Robi Chacha (kulia), Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akikabidhi mikopo ya mifugo kwa kikundi hicho, iliyotolewa na Covenant Bank kupitia Akaunti yake ya Wafugaji. Katikati mwenye gauni jekundu ni Mkurugenzi Mwendeshaji wa benki hiyo, Sabetha Mwambenja.
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Covenant Bank, Sabetha Mwambenja (kushoto), akimpatia maelezo Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani kuhusu mitamba ya ngombe, waliokabidhiwa kama mikopo kwa kikundi cha wafugaji cha Kata ya Somangila, Gezaulole, Kigamboni, Temeke, jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Covenant Bank, Sabetha Mwambenja (kushoto), akimpatia maelezo Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani kuhusu mitamba ya ngombe, waliokabidhiwa kama mikopo kwa kikundi cha wafugaji cha Kata ya Somangila, Gezaulole, Kigamboni, Temeke, jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Covenant Bank, Sabetha Mwambenja (kushoto), akimshukuru na kuagana na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani mara baada ya kumpatia maelezo na kabidhi mitamba ya ngombe wa maziwa kama mikopo kwa kikundi cha wafugaji cha Kata ya Somangila, Gezaulole, Kigamboni, Temeke, jijini Dar es Salaam leo.
Wasanii wa kikundi cha Wanne Stars wakitumbuiza wakati wa hafla hiyo leo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment