Dr. Servacius Likwelile, Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali akiwa pamoja na ujumbe kutoka Tanzania. Kutoka kushoto ni Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na kulia ni Bi. Natu Mwamba, Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania wakimsikiliza kwa makini Bw. Phippe Dongier, ambaye ni Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi (hayupo kwenye picha), alipokuwa akijibu hoja zilizowekwa mezani.
Thursday, October 16, 2014
Viongozi wa Wizara ya Fedha wakutana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi, Phippe Dongier
Baadhi
ya viongozi wa Wizara ya Fedha wakifuatilia kwa makini mkutano uliokuwa
ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile, ambapo
ujumbe kutoka Tanzania ulikutana na Mwakili Mkazi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Rwanda, Uganda na
Burundi Bw. Phippe Dongier hawapo kwenye picha kwa
madhumuni ya kujadili masuala mbalimbali yanayohusu uchumi wa Tanzania. Kutoka
kushoto ni Bw. John Cheyo ambaye ni Kamishna wa Bajeti, anayefuata ni Katibu Mtendaji
wa Tume ya Mipango Zanzibar Bi Amina na wa kushoto kwake ni Bw. Said Magonya
ambaye ni Kamishna wa Fedha za nje Wizara ya Fedha.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile alipokuwa
akitoa msimamo wake kuhusu sera zinazopendekewa na Benki ya Dunia kwa mwakilishi mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Phippe Dongier (kulia), wakati wa mkutano huo leo.
Dr. Servacius Likwelile, Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali akiwa pamoja na ujumbe kutoka Tanzania. Kutoka kushoto ni Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na kulia ni Bi. Natu Mwamba, Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania wakimsikiliza kwa makini Bw. Phippe Dongier, ambaye ni Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi (hayupo kwenye picha), alipokuwa akijibu hoja zilizowekwa mezani.
Dr. Servacius Likwelile, Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali akiwa pamoja na ujumbe kutoka Tanzania. Kutoka kushoto ni Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na kulia ni Bi. Natu Mwamba, Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania wakimsikiliza kwa makini Bw. Phippe Dongier, ambaye ni Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi (hayupo kwenye picha), alipokuwa akijibu hoja zilizowekwa mezani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment