Naibu Katibu Mkuu Utumishi Bw. HAB Mkwizu (kulia) akifungua kikao kazi kwa njia ya Ki-elektroniki (video conference), kilichojumuisha Utumishi na Mikoa ya Singida, Arusha, Dodoma na Tume ya Mipango katika ukumbi wa Utumishi mapema juzi.
Naibu Katibu Mkuu Utumishi Bw. HAB Mkwizu (kulia), akifuatilia mada wakati wa kikao kazi kilichofanyika kwa njia ya Ki-elektroniki (video conference) kati ya Utumishi na Mikoa ya Singida, Arusha, Dodoma na Tume ya Mipango katika ukumbi wa Utumishi mapema juzi.
Ofisa Utumishi Mwandamizi wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bi Sakina Mwinyimkuu akiwasilisha katika kikao kazi kilichofanyika kwa njia ya Ki-elektroniki (video conference) kati ya Utumishi na Mikoa ya Singida, Arusha, Dodoma na Tume ya Mipango katika ukumbi wa Utumishi mapema juzi. Wengine ni viongozi wa Ofisi ya Ris Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakifuatilia mada.
Ofisa Utumishi Mwandamizi wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bi.Sakina Mwinyimkuu akiwasilisha katika kikao kazi kilichofanyika kwa njia ya Ki-elektroniki (video conference) kati ya Utumishi na Mikoa ya Singida, Arusha, Dodoma na Tume ya Mipango katika ukumbi wa Utumishi mapema juzi. Wengine ni viongozi wa Ofisi ya Ris Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakifuatilia mada.
Baadhi ya viongozi na watumishi wa Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakifuatilia mada wakati wa kikao kazi kilichofanyika kwa njia ya Kielektroniki (video conference) kati ya Utumishi na Mikoa ya Singida, Arusha, Dodoma na Tume ya Mipango katika ukumbi wa Utumishi mapema juzi.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakifuatilia mada wakati wa kikao kazi kilichofanyika kwa njia ya Ki-elektroniki (video conference) kati ya Utumishi na Mikoa ya Singida, Arusha, Dodoma na Tume ya Mipango katika ukumbi wa Utumishi mapema juzi.
Baadhi ya viongozi na watumishi wa Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakifuatilia mada wakati wa kikao kazi kilichofanyika kwa njia ya Kielektroniki (video conference) kati ya Utumishi na Mikoa ya Singida, Arusha, Dodoma na Tume ya Mipango katika ukumbi wa Utumishi mapema juzi.
Ofisa Utumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bi. Magreth Ngondya (kushoto) akiwasilisha mada katika kikao kazi kilichofanyika kwa njia Ki- elektroniki (video conference) katika kikao kazi kati ya Utumishi na Mikoa ya Singida, Arusha, Dodoma na Tume ya Mipango katika ukumbi wa Utumishi mapema juzi. Wengine ni viongozi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakifuatilia mada. (Picha zote na Happiness Shayo-Ofisa Habari, Utumishi)
No comments:
Post a Comment