Kampuni
ya Kariati Matracktor Diwani wa Kata ya Kwadelo, Kondoa mkoani Dodoma,
Omary Kariati, leo imekabidhi matrekta manne kwa wakulima wa wilaya ya
Kondoa (matrekta matatu) na Mbarali (trekta moja), katika hafla
iliyofanyika leo asubuhi, kwenye Ofisi za Kariati Matrektor, Kinondoni,
Dar es Salaam. Zinazofuatia ni picha za hafla hiyo. (Picha/Maelezo na
Bashir Nkoromo)
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kariati Matractor, Omary Kariati akimkabidhi fungua za
trekta Mwakilishi wa wkulima wa Kondoa, Karoli Lubuva, katika hafla ya
makabidhiano hayo, iliyofanyika leo.
Kariati akiwapa maelezo kuhusu trekta husika kabla ya kuzikabidhi kwa wawakilishi wa wakulima hao leo
Kariati akilijaribu moja ya matrekta hayo akiwa na mwakilishi wa wakulima kutoka Kondoa Karoli Lubuva.
No comments:
Post a Comment