Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi.
Joyce Fissoo akiowaonesha mabango ya filamu za Tanzania wageni kutoka Mamlaka
ya Mawasiliano Kenya (hawapo pichani), walipotembelea Ofisi za bodi hiyo ili
kujifunza namna ya Uendeshwaji wa Bodi ya Filamu jana jijini Dar es Salaam.
Kushoto ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi hiyo Bw. Silyvester Sengerema. (Picha na Frank Shija, WHVUM)
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo akiowaonesha mabango ya filamu za Tanzania wageni kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Kenya (hawapo pichani), walipotembelea ofisi za bodi hiyo ili kujifunza namna ya Uendeshwaji wa Bodi ya Filamu jana jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi hiyo Bw. Silyvester Sengerema.
Kutoka kushoto ni Ofisa Mult Media kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Kenya (CA), Bi. Jacquline Kinyanjui, Ofisa Mult Media kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Kenya, Bi. Mercy Tepla na Ofisa kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Bw. George Charles wakisikiliza maelezo kutoka kwa uongozi wa Bodi ya Filamu Tanzania walipotembelea Ofisi za bodi hiyo, jana jijini Dar es Salaam.
Ujumbe kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Kenya wakiwa katika kikao cha pamoja na Watendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania jana jijini Dar es Salaam.





No comments:
Post a Comment