Wananchi wakilishangaa gari dogo, aina ya Suzuki pick up, lililokuwa likiungua moto, karibu na kituo cha kuuzia mafuta, Ilala Sokoni, Dar es Salaam leo.
Wananchi wakianza kuuzima moto uliokuwa ukiliteketeza gari dogo, aina ya Suzuki pick up, karibu na kituo cha kuuzia mafuta, Ilala Sokoni, Dar es Salaam leo.
Wananchi wakiuzima moto uliokuwa ukiliteketeza gari dogo, aina ya Suzuki pick up, karibu na kituo cha kuuzia mafuta, Ilala Sokoni, Dar es Salaam leo.
Wananchi wakiwa wamefanikiwa kuuzima moto uliokuwa ukiliteketeza gari dogo, aina ya Suzuki pick up, karibu na kituo cha kuuzia mafuta, Ilala Sokoni, Dar es Salaam leo.
Wananchi wakiangalia athari iliyotokea baada ya gari dogo, aina ya Suzuki pick up, kuungua kwa moto, karibu na kituo cha kuuzia mafuta, Ilala Sokoni, Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wananchi wakiondoka kwenye tukio hilo, wakati moto ukiendelea kuzimwa kwenye gari hilo dogo.
Mwananchi akiuzima moto huo kwa kutumia kifaa cha kuzimia cha fire-extinguisher.
Wananchi wakilishangaa gari hilo dogo, aina ya Suzuki pick up, baada ya moto kuzimwa kabisa.

No comments:
Post a Comment