TANGAZO


Thursday, October 30, 2014

Mwenyekiti wa CUF Profesa Lipumba asoma maazimio ya Kikao cha Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la chama hicho

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akisoma maazimio ya Kikao cha Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la chama hicho, kilichofanyika Oktoba 26 mpaka 27, mwaka huu jijini. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Fedha na Uchumi wa CUF, Joram Bashange. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akiwaonesha waandishi wa habari, jinsi karatasi ya uchaguzi zilivyo, kwa baadhi ya Mikoa, ambapo alisema wananchi hutakiwa kuandika nembo ya Chama chake, anachotaka kumpigia kura mgombea wake.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akisoma maazimio ya Kikao cha Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la chama hicho, kilichofanyika Oktoba 26 mpaka 27, mwaka huu jijini. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Fedha na Uchumi wa CUF, Joram Bashange.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akisoma maazimio ya Kikao cha Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la chama hicho, kilichofanyika Oktoba 26 mpaka 27, mwaka huu jijini. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Fedha na Uchumi wa CUF, Joram Bashange.
Waandishi wa habari, wakiandika maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba.


Waandishi wa habari, wakiandika maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba.
Baadhi ya wanachama wa CUF, wakimsikiliza Mwenyekiti wao, Profesa Ibrahim Lipumba, wakati alipokuwa akisoma maazimio ya Kikao cha Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la chama hicho.
Baadhi ya wanachama wa CUF, wakiwa katika mkutano huo na waandishi wa habari.

Waandishi wa habari, wakiwa kazini, wakiandika maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba.

Waandishi wa habari, wakiwa kwenye mkutano huo na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akiionesha rasimu ya Katiba inayopendekezwa, aliyosema wanaipinga kwa kila hali, alipozungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati akisoma maazimio ya Kikao cha Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la chama hicho, kilichofanyika Oktoba 26 mpaka 27, mwaka huu jijini. Kulia ni Mjumbe wa baraza hilo, Bonifacia Mapunda.

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akielezea jambo wakati wa mkutano huo na waandishi wa habari, Makao Makuu, Buguruni, jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mjumbe wa baraza hilo, Bonifacia Mapunda.

Profesa Ibrahim Lipumba, akifafanua jambo wakati wa mkutano huo.

Waandishi wa habari, wakifurahia jambo, wakati Profesa Ibrahim Lipumba, akizungumza katika mkutano huo.
Profesa Ibrahim Lipumba, akijibu maswali ya waandishi wa habari katika mkutano huo na waandishi wa habari, Makao Makuu, Buguruni, jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment