Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa
Kongamano la Maadhimisho ya miaka 10 ya Tume ya Utumishi wa Umma
lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya viongozi, wakurugenzi, wageni waalikwa na wafanyakazi wa Tme ya Utumishi Umma wakimsikiliza Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakati akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa
Kongamano la Maadhimisho ya miaka 10 ya Tume ya Utumishi wa Umma
lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa
Kongamano la Maadhimisho ya miaka 10 ya Tume ya Utumishi wa Umma
lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na washiriki
wa Kongamano la Maadhimiso ya miaka 10 ya Tume ya Umma lililofanyika
jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa tatu kushoto) pamoja na Makatibu Wakuu Kiongozi wastaafu, Matern Lumbanga (kulia) na Philemon
Luhanjo. (Picha zote na Freddy Maro)

No comments:
Post a Comment