TANGAZO


Tuesday, October 21, 2014

Mbunge Abbas Mtevu wa Temeke, azungumza na vikundi vya Jogging, alipokuwa akizindua vikoba jimboni humo

Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu alipowasili katika Viwanja vya TCC Club, Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Meya na Diwani wa Miburani Juma Mkenga, na kulia ni Mwenyekiti wa Temeke Jogging, Mussa Mtulya. (Picha zote na Khamisi Mussa)
Baadhi ya wanachama wa Vilabu kumi vya Jogging Jimbo la Temeke wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu alipo kuwa akizindua Vikoba hivyo katika viwanja vya TCC Clob Dar es Salaam.
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu,  alipokuwa akizinduwa vikoba hivyo na kupitisha Harabe ambapo zaidi ya Sh. milioni 1.8 zilipatikana katika harambe hiyo.
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu, kulia na Mwenyekiti wa Temeke Jogging, Mussa Mtulya , alipokuwa akizinduwa vikundi zaidi ya  kumi vya Vicoba.
Pendo Masigati, alipofunguwa kinywaji cha Shampeni katika hafla hiyo ya uzinduzi wa Vikoba hivyo katika Viwanja vya TCC Clob, Dar es Salaam.
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu  (kulia), akimkabidhi Sh. Laki moja , Mwenyekiti wa Jogging Sports Club amaikocheni Dars Salaam,  Muhamed Husseni kwa ushiriki wao wakukubali mwaliko bila kujali umbali, wanao shuhudia katikati kushoto ni Diwani Hamisi Mzuzuri na anaye fatia ni Naibu meya na Diwani wa Miburani Juma Mkenga.
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu, akiongea na wana Habari baada ya uzinduzi wa Vicoba hivyo.

No comments:

Post a Comment