Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wanachama wa CCM, wakati alipokuwa akifunga mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala, uliofanyika jana Oktoba 19, 2014 kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. (Picha zote na OMR)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wanachama wa CCM, wakati alipokuwa akifunga mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala, uliofanyika jana Oktoba 19, 2014 kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Wanachama wa CCM Wilaya ya Ilala, wakiimba na kushangilia kwa furaha wakati walipokuwa wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia alipokuwa akifunga rasmi Mkutano Mkuu wa wanachama wa CCM Wilaya ya Ilala.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya viongozi wa CCM Wilaya ya Ilala kuimba wimbo maalum wa Chama wakati Dkt. Bilal, alipokuwa akifunga rasmi Mkutano mkuu wa CCM wa Wilaya hiyo jana Oktoba 19, 2014 kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya Wanachama wa CCM wakati akiondoka kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jana Oktoba 19, 2014 baada ya kufunga rasmi Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Ilala.
No comments:
Post a Comment