Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi akitoa ufafanuzi kuhusu
makabidhiano ya Katiba inayopendekezwa, yatakayofanywa kati ya viongozi
wa Bunge maalumu la katiba watakao kabidhi kwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete na wa Zanzibar Dk. Mohamed Shein
kwa waandishi wa habari, makabidhiano hayo yatafanyika Okt. 8, 2014
katika Uwanja wa Jamhuri, mjini Dodoma.
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi akitoa ufafanuzi kuhusu
makabidhiano ya Katiba inayopendekezwa, yatakayofanywa kati ya viongozi
wa Bunge Maalumu la Katiba watakao kabidhi kwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete na wa Zanzibar Dk. Mohamed Shein
kwa waandishi wa habari, makabidhiano hayo yatafanyika Okt. 8, 2014
katika Uwanja wa Jamhuri, mjini Dodoma.
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi akitoa ufafanuzi kuhusu makabidhiano ya Katiba inayopendekezwa, yatakayofanywa Uwanja wa Jamhuri, mjini Dodoma Okt. 8, 2014.
Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi alipokua akielezea kuhusu makabidhiano ya Katiba inayopendekezwa, yatakayofanyika keshokutwa Okt. 8, mwaka huu katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma. (Picha zote na John Banda-Dodoma)
No comments:
Post a Comment