TANGAZO


Sunday, September 28, 2014

Yanga yaanza Ligi Kuu ya Vodacom

*Yaichapa Prison mabao 2-1, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
 Mchezaji Geilson Santana 'Jaja' wa Yanga (kulia), akikimbilia mpira na Jumanne Hifadhu wa Prison ya Mbeya wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga imeshinda mabao 2-1. (Picha zote na Khamisi Mussa)
 Mchezaji Mrisho Ngassa wa Yanga akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Julius Kwangwa wa Prison ya Mbeya, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
 Mchezaji Andray Continho wa Yanga akiruka kushangilia goli aliloifungia timu yake katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, dhidi ya Prison ya Mbeya, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga imeshinda mabao 2-1. 
Mchezaji Andray Continho wa Yanga akishangilia goli aliloifungia timu yake dhidi ya Prison ya Mbeya wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga imeshinda mabao 2-1. 
Andray Continho wa Yanga akishangilia goli aliloifungia timu yake dhidi ya Prison ya Mbeya wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Andray Continho wa Yanga akishangilia mbele ya mashabiki wa timu yake hiyo, goli aliloifungia timu yake katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom dhidi ya Prison ya Mbeya, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Andray Continho wa Yanga akishangilia na wenzake, mbele ya mashabiki wa timu yake hiyo, goli aliloifungia timu yake dhidi ya Prison ya Mbeya wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment