Waziri
wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiongea na wajumbe mbalimbali waliofika
katika uzinduzi wa kivuko cha Kigamboni leo jijini Dar es Salaam kinachofanyiwa matenganezo na Jeshi la Wanamaji maeneo ya kurasini
,ambacho kinatarajiwa kuanza kutumika rasmi alhamisi wiki hii.
Mtendaji Mkuu Temesa Injinia Marceline Magesa akitoa neno la shukrani kwa Jeshi la Wanamaji waliwezesha matengenezo
ya Mv Kigamboni leo jijini Dar es Salaam
ambapo kinatarajiwa kuanza kutumiwa na wananchi wiki hii.
Waziri wa Ujenzi Dkt.
John Magufuli ( kushoto) na Katibu Mkuu wa Ujenzi Injinia Mussa Iyombe(kulia) wakisikiliza kwa
makini maelekezo yaliyokuwa yakitolewa katika ufunguzi wa kivuko cha Mv
Kigamboni leo jijini Dar es Salaam kinachofanyiwa matenganezo na Jeshi la Wanamaji maeneo ya kurasini na kinatarajiwa kuanza kutumika wiki hii.
Waziri wa Ujenzi Dkt.
John Magufuli ( katikati mwenye suti nyeusi) akielekea katika eneo ambalo kivuko cha MV Kigamboni kilipo kwa ajili ya ukaguzi wa kazi
iliyofanywa na wahandisi wa Jeshi la Wanamaji leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi Dkt.
John Magufuli ( katikati) akipata maelekezo kutoka kwa Msimamizi wa matengenezo Luten Kanali Abel Gwanafyo (Kulia),
kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Maji Brigadia Jenerali
Rostian Laswai wakati wa ufunguzi wa kivuko hicho leo jijini Dar es Salaam
,amabapo kinatarajiwa kuanza kutumika
wiki kurahisisha usafiri kwa watu
wa Kigamboni.
Waziri wa Ujenzi Dkt.
John Magufuli (kulia) akipata maelekezo kutoka kwa Msimamizi wa matengenezo Luten Kanali Abel Gwanafyo (Kulia),
kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Maji Brigadia Jenerali
Rostian Laswai wakati wa ufunguzi wa kivuko hicho leo jijini Dar es Salaam
,amabapo kinatarajiwa kuanza kutumika
wiki kurahisisha usafiri kwa watu
wa Kigamboni.
Waziri wa Ujenzi Dkt.
John Magufuli (wa pili kulia), akipata maelekezo kutoka kwa Msimamizi wa matengenezo Luten Kanali Abel Gwanafyo (Kulia),
kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Maji Brigadia Jenerali
Rostian Laswai wakati wa ufunguzi wa kivuko hicho leo jijini Dar es Salaam
,amabapo kinatarajiwa kuanza kutumika
wiki kurahisisha usafiri kwa watu
wa Kigamboni.
Waziri wa Ujenzi Dkt.
John Magufuli ( katikati) akipata maelekezo kutoka kwa Msimamizi wa matengenezo Luten Kanali Abel Gwanafyo (Kushoto), kulia ni Mkuu
wa Jeshi nla Maji Brigadia Jenerali Rostian Laswai wakati wa ufunguzi wa kivuko
hicho leo jijini Dar es Salaam ,amabapo
kinatarajiwa kuanza kutumika wiki hii kurahisisha usafiri kwa watu
wa Kigamboni.
Kivuko cha Mv Kigamboni kinavyoonekana kwa ndani, kinatarajiwa
kuanza kutumika siku ya alhamisi baada ya matengenezo yalifanywa na Jeshi la Wanamaji kwa mda wa wiki tatu tangu kilipoaacha
kufanya kazi Agosti 14 mwaka huu.
Kivuko cha Mv Kigamboni kinavyoonekana upande wa ubavuni , kikiwa katika
hatua za mwisho tayari kwa kuanza
kutumiwa na wananchi siku ya alhamisi baada ya matengenezo yaliofanywa
na Jeshi la Wanamaji kwa mda wa wiki tatu
tangu kilipoaacha kufanya kazi Agosti 14 mwaka huu.( Picha na Lorietha Laurenc
eMaelezo)
Kivuko cha Mv Kigamboni kinavyoonekana upande wa mbele na ubavuni , kikiwa katika
hatua za mwisho tayari kwa kuanza
kutumiwa na wananchi siku ya Alhamisi baada ya matengenezo yaliofanywa
na Jeshi la Wanamaji kwa mda wa wiki tatu
tangu kilipoaacha kufanya kazi Agosti 14 mwaka huu. (Picha zote na Lorietha Laurence Maelezo)
No comments:
Post a Comment