Ndege
iliyomleta Rais wa Uganda Yoweri Museveni ikiwa imetua katika Kiwanja cha Ndege
cha Kimataifa Mwalimu Julius Nyerere tayari kwa ziara yake
ya kikazi ya siku moja ambapo alipokelewa na mwenyeji wake Rais wa Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete leo jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Uganda Yoweri Museveni akiteremka katika ndege iliyomleta leo jijini dar es
Salaam kwa ajili ya ziara yake ya siku
moja nchini Tanzania.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete
akikagua Gwaride la Maaskari pamoja na Mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri
Museveni baada ya kuwasili leo jijini katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa Mwalimu
Julius Nyerere kwa ajili ya ziara ya siku moja.
Rais
wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete (Kulia) pamoja na mgeni wake
Rais wa Uganda Yoweri Museveni (kushoto)
wakiangalia ngoma za utamaduni baada ya kuwasili katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa Mwalimu Julius Nyerere Leo jijini Dar es Salaam ,kwa ajili ya
ziara ya siku moja hapa nchini.
Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete (Kulia) pamoja na mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni (kushoto) wakiangalia ngoma za utamaduni baada ya kuwasili katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa Mwalimu Julius Nyerere Leo jijini Dar es Salaam ,kwa ajili ya ziara ya siku moja hapa nchini.
Rais
wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete (Katikati)akipata maelekezo
kutoka kwa mwongoza msafara na kushoto ni
Rais wa Uganda Yoweri
Museveni ambaye amewasili nchini leo kwa ajili ya ziara ya siku moja.
Rais
wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete (Katikati)akipata maelekezo
kutoka kwa mwongoza msafara na kushoto ni
Rais wa Uganda Yoweri
Museveni ambaye amewasili nchini leo kwa ajili ya ziara ya siku moja . ( Picha zote na
Lorietha Laurence-Maelezo)
No comments:
Post a Comment