TANGAZO


Tuesday, September 16, 2014

Kinana awakoromea viongozi wa CCM wanaosababisha mkorogano


Umati wa wananchi wa Mafia ukiwa kwenye mkutano wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, alipokuwa akiwahutubia wananchi hao.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Wilaya ya Mafia ambapo aliwataka Viongozi wa CCM waache mkorogano badala yake wafanye shughuli za maendeleo kwanza.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi ya CCM, Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Mafia kwenye Uwanja wa Mkunguni, Stendi ya Mabasi mjini Mafia.
Naibu Waziri Nishati na Madini, Charles Kitwanga akihutubia wakazi wa Mafia ambapo aliwaambia kwamba Mafia ndio Wilaya pekee itakayopata Umeme kwa asilimia 100%.

No comments:

Post a Comment