Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kufungua rasmi mkutano mkuu wa tatu wa Afrika kuhusu masuala ya usimamizi wakodi uliofanyika kwenye Hoteli ya Double Tree, jijini Dar es Salaam, leo Septemba 16, 2014. (Picha zote na OMR) |
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano mkuu wa tatu wa Afrika kuhusu
masuala ya usimamizi wa kodi uliofanyika kwenye Hoteli ya Double Tree,
jijini Dar es Salaam, leo Septemba 16, 2014.
Baadhi
ya washiriki wa mkutano huo, kutoka Mataifa mbalimbali ya Afrika,
waliohudhuria mkutano huo, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akitoa hotuba
yake ya ufunguzi wa mkutano huo, uliofanyika kwenye Hoteli ya Double
Tree, jijini Dar es Salaam, leo Septemba 16, 2014.
No comments:
Post a Comment