TANGAZO


Thursday, August 21, 2014

Waziri Mkuu kuwa mgeni rasmi mashindano ya Kimataifa ya Wushu


Mshauri wa masuala ya Utamaduni kutoka Ubalozi wa China nchini Tanzania (wapili kutoka kulia), Bw.Liu Pong akiongea na wanahabari hawapo pichani kuhusu mashindano ya kimataifa ya mchezo wa WUSHU yatakoayofanyika kwenye viwanja vya mnazi mmoja mwezi wananejijini Dar es Salaam  mwaka huu.


Mwakilishi wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bw. Michael Kagondela watatu kutoka kulia akiongea na wanahabari (hawapo pichani), kuhusu mashindano ya kimataifa ya mchezo wa WUSHU yatakayo fanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja mwezi wa Nane, mwaka huu, jijini Dar es Salaam.


Baadhi ya wanahabari wakimsikiliza Mshauri wa masuala ya Utamaduni kutoka Ubalozi wa China nchini Tanzania (hayupo pichani), kuhusu mashindano ya kimataifa ya mchezo wa WUSHU yatakayofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja mwezi wanane jijini Dar es Salaam  mwaka huu.
Mshauri wa masuala ya Utamaduni kutoka Ubalozi wa China nchini Tanzania (wa pili kutoka kulia), Bw.Liu Pong akiongea na wanahabari hawapo pichani kuhusu mashindano ya kimataifa ya mchezo wa WUSHU yatakoayofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, mwezi wa nane jijini Dar es Salaam  mwaka huu.
Wanamichezo wa  mchezo wa WUSHU nchini wakionyesha  jinsi mchezo huo unavyochezw  ambele  ya wanahabari, wakati wa mkutano kuhusu mashindano ya Kimataifa ya mchezo wa WUSHU yatakayofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja mwezi wa nane jijini Dar es Salaam,  mwaka huu


Na: DaudManongi, WHVUM

WaziriMkuuwaJamhuriyaMuunganowa Tanzania Mhe. MizengoPindaanatarajiwakuwamgenirasmikatikauzinduziwamashindanoyaKimataifayamchezowaWushu (Kung fu) yatakayofanyikahapanchikuanziatarehe 30 hadi 31 katikaviwanjavyaMnaziMmoja.

HayoyamebainishwanaRaiswa Chama cha MchezowaWushunchiniMwalamiMitetealipokuwaakiongeanawaandishiwahabarileojijini Dar es Salaam.

KatikataarifayakeMwalamialisemakuwamashindanohayoyatajumuishavilabuvyotevyamchezohuohapanchiniambapoalitajaidadiyakekuwa 23 nakuongezakuwakutakuwanatimushirikikutokanchimbalimbalizikiwemo China, Kenya, Uganda, Zimbabwe, Ethiopia, Libya na Iran.

“TunatarajiakufanyamashindanoyaKimataifaambayoyatajulikanakama 2nd Tanzania International Wushu Competition nayatafanyikakuanziatarehe 30 na 31 kuanziasaa 4 asubuhi mpaka saa 12 jioni katika viwanja vya Mnazi Mmoja”. Alisema Mharaami.

Kwa upande wake Mwakilishi wa Serikali kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bw. Michael Kagonde la amesema kuwa ni fursa nzuri kwa wadau wa michezo hapanchini hasa wanamichezo wa Wushu kwa kuaandaa mashindano makubwa yanayoshirikisha timu kutoka                                                   sehemu mbalimbali kwani kufanya hiyvo kutaongeza hamasa kwa wanamichezo wa Tanzania kujifunza kutoka kwao

Aidha, Kagondelaameupongezaumojawawafanyabiasharawa China hapa nchini kwa hatua yao ya kudhamini mashindano hayo na kuomba wadau wengine wajitokezekatikakusaidiakukuzamichezohapanchini.

Mshauri wa Masuala ya Utamaduni kutoka Ubalozi wa China hapa nchini Liu Pong  mshindano hayo kufadhiliwa na  Jumuiya ya wafanyabiashara wa China hapa nchini ni matunda ya ushirikiano wa muda mrefu baina ya Tanzania na China na kuongeza kuwa michezo ni njia ambayo itaendeleza uhusiano huo.


Hii ni marayapili kwa chama hicho kuanda amichuano mikubwa ya mchezo huo baada yaawalikwa kundaa michuano ya taifa ili yohusishe klabu pekeeza Tanzania iliyofanyika Ufukwe wa Coco mwaka 2011.

No comments:

Post a Comment