TANGAZO

Thursday, August 21, 2014

Ufunguzi wa Maonesho ya Bidhaa za China leo jijini Dar es Salaam

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. bdallah Kigoda (kulia) na Balozi wa China nchini, Dk. LU Youqing (kushoto), wakiteta jambo wakati wa hafla ya uzinduzi wa maonesho ya bidhaa zinazozalishwa China, ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam leo. Kulia ni NaibunWaziri wa wizara hiyo, Janeth Mbene. (Piha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. bdallah Kigoda (kulia) na Balozi wa China nchini, Dk. LU Youqing (kushoto), wakiteta jambo wakati wa hafla ya uzinduzi huo jijini leo. Kulia ni NaibunWaziri wa wizara hiyo, Janeth Mbene.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. bdallah Kigoda (kulia) na Balozi wa China nchini, Dk. LU Youqing (kushoto), wakiteta jambo wakati wa hafla ya uzinduzi wa maonesho ya bidhaa zinazozalishwa China, ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam leo. Kulia ni NaibunWaziri wa wizara hiyo, Janeth Mbene.

Balozi wa China nchini, Dk. LU Youqing, akizungumza wakati wa hafla hiyo jijini leo.
Balozi wa China nchini, Dk. LU Youqing (kulia), akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Balozi wa China nchini, Dk. LU Youqing, akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiyo, wakiwasikiliza baadhi ya viongozi waliokuwa wakiwasilisha majukumu yao.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. bdallah Kigoda, akizungumza wakati alipokuwa akiyafungua maonesho hayo.

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. bdallah Kigoda (katiakti), Naibu Waziri, Janeth Mbene na Balozi wa China nchini, Dk. LU Youqing, wakiwa katika hafla ya uzinduzi huo leo jijini Dar es  Salaam.

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. bdallah Kigoda (wapili kushoto) na Balozi wa China nchini, Dk. LU Youqing (kulia), wakikata utepe ili kuyazindua maonesho ya bidhaa za China, ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam leo. 
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. bdallah Kigoda (wapili kushoto) na Balozi wa China nchini, Dk. LU Youqing (kulia), wakiwa katika uzinduzi wa maonesho ya bidhaa zinazozalishwa China, ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam leo. 
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. bdallah Kigoda, akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kuyafungua maonesho hayo jijini leo.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. bdallah Kigoda, akipatiwa maelezo na Meneja Mkuu wa Kampuni ya vifaa vya umeme jua (Solar), wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho hayo, mara baada ya kuyafungua leo. 

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. bdallah Kigoda, akipatiwa maelezo na Charley Peng wa Kampuni ya China Wuxi Everbright kuhusu majaji, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho hayo, mara baada ya kuyafungua leo. 
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. bdallah Kigoda, akipatiwa maelezo na Meneja Biashara ya Nje wa Kampuni ya Huayi, Gao Pin, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho hayo, mara baada ya kuyafungua leo.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. bdallah Kigoda, akipatiwa maelezo na Mwenyekiti wa Kampuni ya kutengeneza nguo ya Orientar Holdings, Duan Xutongs, alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho hayo, mara baada ya kuyafungua leo.

No comments:

Post a Comment