TANGAZO


Thursday, August 21, 2014

Wajue washiriki wa shindano la Redd's Miss Temeke watakaochuana kesho TCC Chang'ombe

Wanyange 17 wa Miss Temeke, watakaochuano kesho kwa ajili ya kumpata malkia wa Redd's Miss Temeke 2014, viwanja vya Sigara (TCC), Chang'ombe jijini Dar es Salaam, washindi wawili wa kinyanganyiro hicho, watapata tiketi ya kushiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014.
Winfrida Gutram akiwa amepozi kwa picha wakati wa mazoezi yao ya mwishoni mwishoni leo. 
Mrembo Amina Salum, akiwa amepozi kwa picha wakati wa mazoezi yao leo.
Catherine Alex, akiwa amepozi kwa picha wakati wa mazoezi yao leo. 
Dalena David akiwa amepozi kwa picha wakati wa mazoezi yao mwisho mwisho leo.
Esther Manhi akiwa amepozi kwa picha wakati wa mazoezi yao leo.
Grace John akiwa amepozi kwa picha wakati wa mazoezi yao leo.
Hellen Yughin akiwa amepozi kwa picha wakati wa mazoezi yao leo.
Lucy Lewsi akiwa amepozi kwa picha wakati wa mazoezi yao leo.
Lilian Lothy akiwa amepozi kwa picha wakati wa mazoezi yao leo.
Neema Molel akiwa amepozi kwa picha wakati wa mazoezi yao leo.
Rebbeca Mdamu akiwa amepozi kwa picha wakati wa mazoezi yao leo.
Salama Saleh akiwa amepozi kwa picha wakati wa mazoezi yao leo.
Sitti Abbas Mtemvu akiwa amepozi kwa picha wakati wa mazoezi yao leo.
Subira Ally akiwa amepozi kwa picha wakati wa mazoezi yao leo.
Hellen Sulle akiwa amepozi kwa picha wakati wa mazoezi yao leo.

Wanyange 17 wa Miss Temeke, watakaochuano kesho kwa ajili ya kumpata malkia wa Redd's Miss Temeke 2014, viwanja vya Sigara, Chang'ombe jijini Dar es Salaam. (Picha zote na mpigapicha wetu)

No comments:

Post a Comment