Naibu
Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akifungua semina ya wafanyabiashara
iliyoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Biashara Mashariki na Kusini mwa Afrika
(PTA) leo jijini Dar es Salaam.
Rais na Mtendaji Mkuu
wa Benki ya Maendeleo ya Biashara Mashariki na Kusini mwa Afrika (PTA) Admassu
Tadesse akitoa maelezo ya jumla juu ya utendaji kazi benki ya hiyo leo jijini
Dar es Salaam wakati wa semina ya wafanyabiashara na benki hiyo.

Katibu Mkuu Wizara ya
Fedha Dkt. Servacius Likwelile akifunga semina ya wafanyabiashara iliyoandaliwa
na Benki ya Maendeleo ya Biashara Mashariki na Kusini mwa Afrika (PTA) leo
jijini Dar es Salaam ambapo amesistiza kuwa Wafanyabishara nchini watumie fursa
ya semina hiyo ili waweze kuandaa mikakati ya kibiashara ya muda mrefu, wa kati
na muda mfupi waweze kujiletea maendeleo yao na nchi kwa ujumla.
Naibu Waziri wa Fedha
Mwigulu Nchemba (kushoto) akiteta jambo na Rais na Mtendaji Mkuu wa benki ya
Benki ya Maendeleo ya Biashara Mashariki na Kusini mwa Afrika (PTA) Admassu
Tadesse (kulia) wakati wa semina ya wafanyabiashara iliyoandaliwa na Benki ya
PTA leo jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Fedha
Mwigulu Nchemba (katikati) akiongea na waandishi wa
habari (hawapo pichani) mara baada ya ufungzi wa semina ya wafanyabiashara leo
jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius
Likwelile na kulia ni Rais na Mtendaji Mkuu wa benki ya Benki ya Maendeleo ya
Biashara Mashariki na Kusini mwa Afrika (PTA) Admassu Tadesse.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha
Dkt. Servacius Likwelile akifafanua jambo kwa waandishi wa habari leo jijini
Dar es Salaam mara baada ya ufunguzi wa semina ya wafanyabiashara iliyoandaliwa
na Benki ya Maendeleo ya Biashara Mashariki na Kusini mwa Afrika (PTA).
Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba (kulia)
akibadilishana mawazo na Rais na Mtendaji Mkuu wa benki ya Benki ya Maendeleo
ya Biashara Mashariki na Kusini mwa Afrika (PTA) Admassu Tadesse (katikati)
mara baada ya ufunguzi wa semina ya wafanyabiashara leo jijini Dar es Salaam.
Wa kwanza kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile.
Mkurugenzi wa Double
Tree Ayaz Ali Jivraj akiuliza swali juu ya namna wafanyabiashara wanavyoweza
kunufaika na huduma za kibenki kupitia Benki ya PTA wakati wa semina ya wafanyabiashara
iliyoandaliwa na benki hiyo leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Maafisa wa Serikali na wafanyabiashara wakiwa kwenye semina ya wafanyabiashara iliyoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Biashara Mashariki na Kusini mwa Afrika (PTA) leo jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Maafisa wa
Serikali na wafanyabiashara wakiwa kwenye semina ya wafanyabiashara
iliyoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Biashara Mashariki na Kusini mwa Afrika
(PTA) leo jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Eleuteri Mangi – MAELEZO)
No comments:
Post a Comment