Ofisa Mradi wa Ujenzi wa daraja la Kigamboni, Kutoka Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mhandisi Karim Mataka (kulia), akimuongoza Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli (katikati), kupita kwenye daraja la Kigamboni, alipotembelea eneo la mradi, Kurasini, Dar es Salaam leo.
Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli akishika nguzo kubwa ya daraja la Kigamboni, alipokagua ujenzi wa daraja hilo, Dar es Salaam leo. Kulia ni Meneja Mradi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mhandisi John Msemo na Msimamizi wa mradi huo, Mhandisi Karim Mataka wa NSSF. (Na Mpigapicha Wetu)

No comments:
Post a Comment