Makamu
wa Rais Dk. Mohamed Gharibu Bilali akikabidhi tuzo ya Ushindi wa kwanza
Kitaifa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kwa kuibuka
washindi wa jumla katika Kundi la Taasisi za Utafiti na Mafunzo.
Anaepokea ni Mkurugenzi Masoko, Mipango na Maendeleo, wa VETA - Tanzania, Enock Kibendera.
Wafanyakazi
na wanafunzi wa VETA wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuibuka
washindi kitaifa hii leo katika siku kuu ya Nane Nane iliyofanyika
viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.
No comments:
Post a Comment