TANGAZO


Friday, August 8, 2014

Tamasha la Matumaini lafana Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam


*Msanii Ambwene Mwasongwe atia fora
Msanii wa nyimbo za Injili, Ambwene Mwasongwe akiimba wimbo wa Upendo ndani ya Tamasha la Matumaini 2014.
Akitoa burudani kwa mashabiki.  Ebwanaeeee...! kulikuwa na mtu nyomi.Akizidi kutoa burudani ndani ya Tamasha la Matumaini.

No comments:

Post a Comment