*Sheikh Farid ndani
Askari wa Jeshi la Magereza wakimsindikiza kwenda kupanda gari Mwenyekiti wa Jumuia ya Maimamu Zanzibar (Uamsho), Sheikh Farid hadi Ahmed (45), na wenzake wakati wakitoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam jana kusikiliza kesi ya ugaidi inayowakabili.
Wanaharakati wa kiislamu wanaodaiwa kujihusisha na ugaidi ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa chini ya ulinzi wa askari Magereza nje ya Mahakama ya Kisutu Dar es Salaam jana asubuhi.
Wanaharakati hao wakienda kupanda gari.
Askari Magereza wakiwasindikiza wanaharakati hao.
Sheikh Farid hadi Ahmed (45)
Askari Magereza wakiwa ndani ya gari lao la dolia kuimarisha ulinzi mahakama hapo.
Basi la Magerza likiondoka mahakama ya Kisutu na watuhumiwa hao. Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com. simu namba 0712-727062)
No comments:
Post a Comment