TANGAZO


Thursday, August 7, 2014

LHRC yatoa taarifa kuhusu mwenendo wa mchakato wa utungaji wa Katiba mpya Tanzania, unaoendelea mjini Dodoma


Jengo la Makao Makuu ya LHRC
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Helen Kijo-Bisimba, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mwenendo wa mchakato wa utungaji wa Katiba Mpya ya Tanzania unaoendelea Dodoma.
Mtetezi wa Haki za Wanawake Ananilea Nkya, akizungumza katika mkutano huo.
Mkurugenzi wa Utetezi na Maboresho  wa LHRC, Harold Sungusia akiptia taarifa hiyo.
Mkurugenzi wa Uwezeshaji na Uwajibikaji wa LHRC, Imelda Urrio akisoma taarifa hiyo. Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Helen Kijo-Bisimba (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mwenendo wa mchakato wa utungaji wa Katiba Mpya ya Tanzania unaoendelea Dodoma. Kushoto ni Mtetezi wa Haki za Wanawake, Ananilea Nkya.
Mtetezi wa Haki za Wanawake, Ananilea Nkya (katikati), akizungumza katika mkutano huo. Kushoto ni Ofisa Mipango kutoka Taasisi ya Sikika, Patrick Kinemo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Helen Kijo-Bisimba
Mwanasheria wa LHRC, Harold Sungusia (katikati), akitoa ufafanuzi wa kisheria kuhusu mchakato huo wa Katiba Mpya. Kulia ni Mkurugenzi wa Uwezeshaji na Uwajibikaji wa LHRC, Imelda Urrio na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Helen Kijo-Bisimba.
Waandishi wa habari wakiwa kazini wakichukua taarifa hiyo.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Waandishi wa habari wakichukua taarifa zilizokuwa zikitolewa na uongozi wa kituo hicho.
Waandishi wa habari wakiwa kwenye mkutano huo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Helen Kijo-Bisimba (katikati), akisoma taarifa hiyo kwa wanahabri.
Mwanasheria wa LHRC, Harold Sungusia (kulia), akionesha Katiba ya nchi wakati akizungumza na wanahabari.
Wanahabari wapiga picha wakichukua picha wakati wa utoaji wa taarifa hiyo.

No comments:

Post a Comment