Kikosi cha timu ya Wabunge mashabiki wa Yanga kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao na Wabunge mashabiki wa Simba.
Beki wa timu ya Wabunge wa Simba, Wiliam Ngeleja akichuana na mshambuliaji wa Wabunge wa Yanga, Mwigulu Nchemba.
Mshambuliaji wa timu ya Wabunge mashabiki wa Yanga, Ridhiwan Kikwete
(kushoto), akimtoka beki wa timu ya Wabunge mashabiki wa Simba, Adam
Malima katika mchezo wa Matumaini uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam.Simba ilichapwa mabao 3-2.
Mashabiki wakifuatilia mchezo huo. (Picha zote kwa hisani ya Francis Dande)
No comments:
Post a Comment