Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembelea Maktaba ya
Kirais ya Rais Bush (Bush Presidential Library) sehemu ambayo
imejengwa kwa mfano wa Ikulu ya Marekani, White House, hususan katika
bustani ya Waziri (Rose Garden) pamoja na ofisi ya Rais wa Marekani,
Oval office.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembelea na kujionea vitu mbalimbali ambavyo Rais mstaafu George W. Bush alipewa kama zawadi kutoka Tanzania ambavyo vimehifadhiwa katika Maktaba ya Kirais ya Rais Bush (Bush Presidential Library)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembelea na
kujionea vitu mbalimbali ambavyo Rais mstaafu George W. Bush
alipewa kama zawadi kutoka Tanzania ambavyo vimehifadhiwa katika Maktaba
ya Kirais ya Rais Bush (Bush Presidential Library)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiondoka baada ya kutembelea Maktaba ya Kirais ya Rais Bush (Bush Presidential Library)
Maktaba hiyo ya kuvutia inaendeshwa kwa teknolojia ya kisasa kabisa ya habari na mawasiliano.
Rais Kikwete alikuwa amesimama mjini Dallas kwa muda akiwa njiani kutoka Washington D.C., kwenda Houston, jimbo hilo hilo la Texas kuhudhuria mkutano wa wafanyabiashara wa mafuta na gesi ambao wanataka kuwekeza katika sekta hiyo katika Tanzania.

Rais Kikwete amekuwa katika Marekani kwa ziara ya kikazi ya siku tisa, ambako
miongoni mwa mambo mengine, amehudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi
za Marekani na Afrika uliofikia kilele chake jana kwa kikao
kilichoendeshwa na Rais Barack Obama wa Marekani katika Wizara ya Mambo
ya Nje ya Marekani mjini Washington D.C.
No comments:
Post a Comment