Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Wazanzibari wanaoishi nchi za nje (Diaspora), wakati
alipowaalika katika chakula maalum leo katika viwanja vya Ikulu Mjini
Zanzibar. Kushoto ni Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali
Iddi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
akizungumza na Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi mbali mbali (Diaspora)wakati alipowaalika katika chakula maalum leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
akiwa na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja
na viongozi wengine wakiwa katika hafla ya chakula alichowaandaliaWazanzibari wanaoishi nchi za nje (Diaspora), katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi (Diaspora), wakichukua chakula walichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein leo, katika viwanja vya Ikulu, Mjini Zanzibar.
Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi (Diaspora), wakichukua chakula walichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo katika viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar leo.
Baadhi ya Wazanzibari wanaoishi Nchi za nje (Diaspora) wakiwa katika chakula walichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
Mshauri wa Rais Ushirikiano wa Kimataifa, Uwekezaji na Uchumi Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa alipokuwa akizungumza machache na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein kutoa hotuba yake kwa Wazanzibari wanaoishi Nchi za nje (Diaspora) aliowaalika chakula cha mchana leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
Bi Hafsa Hassan Mbamba kwa niaba ya Wazanzibari wanaoishi Nchi za nje (Diaspora) akitoa neno la shukrani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein kwa mwaliko huo na kutoa pongezi kwa jitihada zinazo chukuliwa na
Mheshimiwa Rais na Serikali yake kwa ujumla,baada ya hafla ya chakula katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Wazanzibari wanaoishi nchi za nje (Diaspora) wakiwa katika hafla ya chakula walichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
Baadhi ya Wazanzibari wanaoishi Nchi za nje (Diaspora) wakiwa katika chakula walichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.(Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu)
No comments:
Post a Comment