*Simba yakubali kipigo cha mabao 3-0
Mchezaji Paul Kiongera wa Simba (katikati) akijaribu kumtoka Simion Silwimba wa Zwesco ya Zambia wakati wa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa uliochezwa leo katika sherehe ya Simba Day Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simbailipoteza mchezo huo kwa kufungwa mabao 3-0. (Picha zte na Kassim Mbarouk-www.bayan.blogspot.com)Mchezaji Hamis Tambwe wa Simba (kulia), akijaribu kumhadaa Simon Silwimba wa Zesco ya Zambia, wakati wa mchezo wa kirafiki wa Kimataifa, uliochezwa leo katika sherehe za Simba Day, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilipoteza mchezo huo kwa kufungwa mabao 2-0.
Hapa ilikuwa ni patashika wachezaji wakiwania mpira kila mmoja akiutaka yeye.
No comments:
Post a Comment