Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani), wakati alipokuwa akifafanua juu ya malipo ya mishahara ya watumishi yaliyofanyika mwezi Julai, mwaka huu, leo jijini Dar es Salaam ambapo ameonya mamlaka husika ziwe na taarifa sahihi za idadi ya watumishi ili kuondoa makosa ya kulipa mishahara hewa, kwani endapo kutatokea makosa ya ulipaji wa mishahara hewa watachukuliwa hatua za kisheria na kufikishwa mahakamani.
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akiongea na
waandishi wa habari (hawapo pichani), wakati alipokuwa akifafanua juu ya
malipo ya mishahara ya watumishi yaliyofanyika mwezi Julai, mwaka huu,
leo jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani), wakati alipokuwa akifafanua juu ya malipo ya mishahara ya watumishi yaliyofanyika mwezi Julai, mwaka huu, leo jijini Dar es Salaam ambapo ameonya mamlaka husika ziwe na taarifa sahihi za idadi ya watumishi ili kuondoa makosa ya kulipa mishahara hewa, kwani alisema kuwa endapo kutatokea makosa ya ulipaji wa mishahara hewa watachukuliwa hatua za kisheria na kufikishwa mahakamani.
Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipokuwa akifafanua juu ya malipo ya mishahara ya watumishi yaliyofanyika mwezi Julai mwaka huu leo jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Eleuteri Mangi – MAELEZO)
No comments:
Post a Comment