Waziri
Mkuu Mizengo Kayanza Pinda akisaini kitabu cha maombolezo wakati wa kuuaga
mwili wa Marehemu aliyekuwa Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na
Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Lewis Makame leo katika viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Anna Nkinda- Maelezo)
Viongozi
mbalimbali wa Serikali wakilisikiza wasifu wa marehemu aliyekuwa Mwenyekiti
mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani
Lewis Makame leo katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Ndugu, jamaa na marafiki wakiwa na nyuso za uzuni wakati wa kuuaga mwili wa Marehemu aliyekuwa Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Lewis Makame leo katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Viongozi
mbalimbali wa Serikali wakilisikiza wasifu wa marehemu aliyekuwa Mwenyekiti
mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani
Lewis Makame leo katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu Mizengo Kayanza Pinda akiuaga mwili
wa Marehemu aliyekuwa Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Jaji
Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Lewis Makame leo katika viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam.
Jeneza
lenye mwili wa Marehemu aliyekuwa Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi na Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Lewis Makame likiwa mbele ya viongozi wa Serikali, ndugu, jamaa na
marafiki kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho leo katika viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam
Mmoja wa wafiwa akilia kwa uchungu wakati akiuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Lewis Makame katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment