Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote(EOTF), Mama Anna Mkapa akitoa neno la shukrani kwa wahisani wakati wa hafla ya kukabidhi vitabu kwa ajili ya kusaidia shule 45 na vyuo 3 vilivyotolewa na Books for Africa kutoka nchini Marekani leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mwakilishi kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Bibi.Paulina Mkonongo na katika ni mwakilishi wa Balozi wa Nigeria nchini, Bibi. Abiola Delupe.
Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Mama
Anna Mkapa akimkabidhi kitabu mwakilishi wa Shule ya Sekondari Overland,
iliyopo Kisarawe ndg. Allison Sila
wakati wa hafla ya kukabidhi
vitabu kwa ajili ya kusaidia
shule 45 na Vyuo 3 vya Elimu ya Juu vilivyotolewa na Books for Africa
kutoka nchini Marekani na kusafirishwa
kwa hisani ya Mfuko wa Sir. Emeka Offod wa nchini Nigeria leo, jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa akimkabidhi kitabu mwakilishi wa Shule ya Msingi Little Hood, Ignas Kamuntu wakati wa hafla ya kukabidhi vitabu kwa ajili ya kusaidia shule 45 na Vyuo 3 vya Elimu ya Juu vilivyotolewa na Books for Africa kutoka nchini Marekani na kusafirishwa kwa hisani ya Mfuko wa Sir. Emeka Offod wa nchini Nigeria, leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa akimkabidhi kitabu mwakilishi kutoka Chuo cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka Bagamoyo, Bibi. Victoria Kessy wakati wa hafla ya kukabidhi vitabu kwa ajili ya kusaidia shule 45 na Vyuo 3vya Elimu ya Juu vilivyotolewa na Books for Africa kutoka nchini Marekani na kusafirishwa kwa hisani ya Mfuko wa Sir. Emeka Offod wa nchini Nigeria, leo jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi kutoka shule
ya Sekondari Ujenzi iliyopo Mkuranga ndg. Karumuna Sigsmundi akitoa shukrani
kwa Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa
kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa kwa niaba ya wawakilishi wa shule zote zilizo
kabidhiwa Vitabu vilivyotolewa na Books for Africa kutoka nchini Marekani na kusafirishwa kwa hisani ya Mfuko
wa Sir. Emeka Offod wa nchini Nigeria, leo jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi wa Balozi wa Nigeria nchini, Bibi. Abiola Delupe akizungumzia umuhimu wa Vitabu vilivyotolewa na Books for Africa kutoka Marekani na kusafirishwa kwa hisani ya Mfuko wa Sir. Emeka Offod wa nchini Nigeria, wakati wa hafla ya kukabidhi vitabu kwa shule 45 na Vyuo vya Elimu ya juu 3, jijini Dar es Salaam leo. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa, Mdhamini wa Mfuko Sawa kwa Wote Bibi. Esther Mkwizu(katikati) na Mwakilishi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Bibi. Paulina Mkonongo.
Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Mama
Anna Mkapa akiwa katika picha ya pamoja na wadau pamoja na wahisani wa Elimu
wakati wa hafla ya kukabidhi vitabu kwa ajili ya kusaidia
shule 45 na Vyuo 3 vya Elimu ya Juu vilivyotolewa na Books for Africa
kutoka nchini Marekani na kusafirishwa
kwa hisani ya Mfuko wa Sir. Emeka Offod wa nchini Nigeria, leo jijini Dar es
Salaam. (Picha zote na MAELEZO)

No comments:
Post a Comment